iqna

IQNA

ibrahim raisi
Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, haitoshi kulaani tu hujuma za hivi karibuni za utawala haramu wa Israel dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa na mashambulio dhidi ya wauminii wa Kipalestina walioko katika hali ya funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476894    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/20

Rais wa Iran apokea vitambulisho vya balozi wa Palestina, asema
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepokea vitambulisho vya balozi mpya wa Palestina mjini Tehran na kusisitiza kuwa: "Umoja na mashikamano wa makundi na mirengo yote ya Palestina ni siri ya kupata ushindi katika mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel."
Habari ID: 3474907    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/08

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao chake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Togo kuwa: Suala la kuimarishwa uhusiano wa Iran na nchi za bara la Afrika litafuatiliwa kwa umakini na nguvu zaidi.
Habari ID: 3474846    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/24

Krismasi
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe wa pongezi kwa Kingozi wa Kanisa Katoliki Duniani na Wakristo wote duniani kwa mnasaba wa maadhimisho ya kukumbuka kuzaliwa Nabii Issa , amani ta Mwenyezi Mungi iwe juu yake –AS-na amekutaja kuzaliwa kwa Mtume huyo wa Mwenyezi Mungu kuwa ni fursa ya kukumbuka ruwaza njema ya kuwapenda wanadamu na kutoa bishara njema kwa watu wanaodhulumiwa na kukandamizwa.
Habari ID: 3474715    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/24

Rais Ebrahim Raisi
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii imeweza kupata mafanikio makubwa katika sekta za ulinzi na nyuklia pamoja na kuwepo vikwazo shadidi vya maadui na hivyo vikwazo kama hivyo haviwezi kuwa kizingiti katika ustawi wa Iran.
Habari ID: 3474411    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/11

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akiwa na baraza lake la mawaziri wamefika katika Haram Takatifu ya muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomieni -Mwenyezi Mungu Amrehemu-na kujadidisha bai'a na mkono wa utii kwa malengo ya Imam na Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3474227    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/26